US yatoa idadi ya watu waliouawa na ndege zisizo na rubani
Ndege zisizo na rubani
Serikali ya
Marekani imetoa makadirio rasmi ya idadi ya raia ambao huenda waliaga
dunia katika mashambulizi ya ndege zisizokuwa na rubani za Kimarekani,
tangu rais Barrack Obama aingie mamlakani.
Mataifa yaliyojumuishwa ni Pakistan , Yemen na Somalia ambapo Marekani imekuwa ikilenga makundi ya kigaidi na watu binafsi.
Makundi ya wanaharakati wa haki za kibinadam yanasema idadi halisi ni kubwa kuliko iliyotolewa na Marekani.
US yatoa idadi ya watu waliouawa na ndege zisizo na rubani
Reviewed by Ino
on
3:34:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment