Jinsi ya kuipata Compyuta yako ya Windows kwenye simu janja au tablet
1. Rekebisha Computa yako ili iweze kukubali kupokea Remote Connections
Kurekebisha compyuta yko ili iweze kukubali remote connection, anza na Control Panel > System halafu Remote Settings kutoka upande wa kushoto.
Ukiwa sehemu ya System Properties chagua "Allow remote
connections as well as Network Level Authentication" kwa usalama zaidi.
2. Unatakiwa upakue programuya Microsoft Remote Desktop
Fungua Programu ya Microsoft Remote Desktop kwenye simu yako.
Gusa alama ya "+" ilioko upande wa kulia...>>Desktop
Jaza Jina la Compyuta yako au IP address ya Compyuta yako
User name iache iwe Enter every time kwa usalama zaidi >>SAVE.
NB:Ukiupata tatizo lolote usisite kuwasiliana nasi .
Jinsi ya kuipata Compyuta yako ya Windows kwenye simu janja au tablet
Reviewed by Ino
on
6:20:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment