Waliobadili jinsia kutumia vyoo watakavyo

Majimbo kumi na moja ya Marekani
yanaushtaki utawala wa Rais Barack Obama, dhidi ya agizo lake kwamba
shule za umma lazima wanafunzi waliobadili jinsia kuchagua vyoo vya
kutumia.
Utata umelenga katika jimbo la North Carolina,ambalo siku za hivi karibuni lilipitisha sheria likiwaruhusu watu waliobadili jinsi zao kutumia maliwato za umma kulingana na jinsi zinavyoonesha katika vyeti vyao vya kuzaliwa.
Waliobadili jinsia kutumia vyoo watakavyo
Reviewed by Ino
on
9:52:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment