Nyota wa filamu ya Pink Panther afariki

Burt Kwouk ambaye alijulikana sana
kwa kuigiza kama Inspekta Clouseas manservant Cato katika filamu za Pink
Panther amefariki akiwa na umri wa miaka 85.
Pia alikuwa nyota wa kipindi cha BBC sitcom Last of the Summer Wine kutoka 2002 hadi 2010.
Akiwa mzaliwa wa Manchester ,lakini akililewa mjini Shanghai, nyota huyo alituzwa tuzo la OBE mwaka 2011 mjini New York.
Taarifa iliotolewa na ajenti wake ilisema: Mwigizaji Burt Kwuok amefariki.

Pink Panther
Kwuok pia aliigiza katika filamu za James Bond ikiwemo Goldfinger na You Only live Twice.
Nyota wa filamu ya Pink Panther afariki
Reviewed by Ino
on
9:57:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment