Man United na Mourinho wakubaliana

Jose Mourinho
Makubaliano ya mkufunzi Jose
Mourinho kuwa kocha wa kilabu ya Man United msimu ujao yameafikiwa baada
ya mazungumzo ya siku tatu.
Tangazo rasmi kutoka kwa klabu hiyo linatarajiwa siku ya Ijumaa.
Raia huyo wa Ureno atachukua mahala pake Louis van Gaal,ambaye alifutwa kazi siku ya Jumatatu, siku tatu baada ya United kushinda kombe la FA
Man United na Mourinho wakubaliana
Reviewed by Ino
on
9:48:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment