Mzee akabiliana na mamba kwa saa 3 Australia
mamba
Mzee mmoja wa miaka
72 amewaambia waokoaji vile alivyokabiliana na mamba alipomuona
mwenzake akizamishwa na myama huyo ndani ya maji kaskazini mwa
Australia.
Mtu mmoja alizama baada ya kung'atwa na mamba huyo alipokuwa akijaribu kupanda boti hiyo.
Mvuvi mwengine alifanikiwa kumpiga mamba huyo spana katika kichwa katika kisa hicho cha saa tatu.
Msemaji wa ambyulansi ya angani Ian Badham alisema kuwa mamba hao waliendelea kumvamia mzee huyo wakati wa tukio hilo baya.
Mzee akabiliana na mamba kwa saa 3 Australia
Reviewed by Ino
on
10:11:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment