Marekani kuimarisha uhusiano na Vietnam
Mkutano
mkuu wa nchi sita zenye nguvu duniani ikiwemo Iran,utaendelea tena huko
Vienna nchini Australia, pamoja na tarehe ya kuhitimishwa kwa
mazungumzo hayo kutajwa .
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa
Urusi,Sergei Lavrov, amesema kwamba awali kulikubwa na sababu ya kuamini
kuwa suala hilo litahitimishwa katika siku chache na haikuwa hivyo.Naye waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ufaransa,Laurent Fabius,amehakikisha kutoondoka mapema katika meza ya mazungumzo hayo,ametaja pia hatua zitakazo chukuliwa baada ya mazungumzo hayo ikiwa ni pamoja na adhabu,utafiti,maendeleo,na uchunguzi wa kimataifa kama vigezo vikuu .
Marekani kuimarisha uhusiano na Vietnam
Reviewed by Ino
on
12:42:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment