Misaada:Nepal yatakiwa kulegeza sheria
Umoja wa Mataifa umeishauri serikali ya Nepal kulegeza vizuizi vya
ushuru ambavyo inasema vinatatiza utoaji wa misaada kwa waathiriwa wa
tetemeko la ardhi la wiki iliyopita.
Mkuu wa huduma za kibinadamu
wa umoja wa mataifa Baroness Amos alisema kuwa Nepal ina jukumu la
kuharakisha kusafirishwa kwa misaada wakati kunapotokea jangaNepal inasisitiza kuwa ni lazima ikague misaada yote ya dharura itakayowasili katika uwanja wa ndege mjini Kathmandu
Watu wengi maeneo ya mbali bado hawajapata misaada yoyote.
Takriban watu 7000 wameripotiwa kuaga dunia kwenye janga hilo.
Misaada:Nepal yatakiwa kulegeza sheria
Reviewed by Ino
on
3:11:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment