Jeshi kutopendelea pande pinzani Burundi
Jeshi nchini Burundi linasema kuwa litaendelea kuwa na msimamo wa
wastani baada ya siku sita za maandamano dhidi ya rais Pierre
Nkurunziza.
Waziri wa ulinzi (Pontien Gaciyubwenge) alisema kuwa
jeshi ni lazima liheshimu katiba pamoja na makubaliano ya amani
yaliyomaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo.Waandamanaji hao wanamlaumu rais kwa kukiuka katiba na makubaliano hayo ya amani kwa kuwania urais kwa muhula wa tatu
Mapema waandamanaji walitangaza kusitisha maandamano kwa siku mbili wakisema kuwa familia zinahitaji muda wa kuwomboleza wale waliouawa kwenye maandamano hayo.
Jeshi kutopendelea pande pinzani Burundi
Reviewed by Ino
on
3:12:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment