Virusi hatari kwa viumbe vyagunduliwa

Watafiti
wa masuala ya viume vya ardhini na majini, wamegundua virusi vipya
vinavyoangamiza kizazi kizazi hicho kusini mwa nchi ya Hispania.
Wahafidhina wa mambo ya viumbe wanasema kwamba virusi hivyo vianaywezo wa kurukia viumbe wakiwemo vyura,uyoga,mijusi,mijusi ya majini na kuna uwezekano nyoka pia wakaathiriwa na virusi hivyo.
Virusi hivyo vianuawezo mkubwa wa kushambulia ngozi ya tumbo la viumbe hivyo na kusababisha kansa na hufa kutokana na kuvuja damu mfululizo tumboni.
Kiongozi wa utafiti huo dokta Stephen Price kutoka katika chuo kikuu cha London anasema kwamba kuna dalili kuwa ugonjwa huo unasambaa.
Na ugonjwa huo umeshaonekana katika nchi ya China ,ufaransa na hata Netherland.
Virusi hatari kwa viumbe vyagunduliwa
Reviewed by Ino
on
12:50:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment