Stoke waifumua Newcastle 1 - 0

Goli
la mapema la Stoke City lililopachikwa na Peter Crouch kwa njia ya
kichwa limezidi kumwongezea tumbo joto boss wa Newcastle Alan Pardew.
Katika dakika ya 15 Crouch aliruka juu na kukutana na krosi iliyotumwa na Victor Moses kutokea kushoto ambapo hakufanya ajizi akaukwamisha mpira wavuni.
Kipigo hicho sasa kimeamsha hasira za mashabiki wa Newcastle juu ya meneja wao Pardew.
Stoke waifumua Newcastle 1 - 0
Reviewed by Ino
on
1:45:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment