Wapiganaji wa Kurdi washikilia Monsul

wapiganaji wa Kikurdi
Wapiganaji wa Ki Kurdi waliopo
kaskazini mwa iraq wamesema
kuwa kwa sasa wanadhibiti eneo lote la bwawa
la Mosul baada ya kulikomboa kutoka kwa wapiganaji wa Kiislam kwa
mapigano ya siku mbili mfululizo.Mwandishi wa BBC aliyepo katika bwawa hilo anasema amesikia milio ya risasi na milipuko eneo karibu kabisa na Wakurdi ambapo jeshi la Iraq linaendelea kuklabiliana na wapiganaji hao wa Kiislam ili kuwaondoa katika eneo hilo.
Hata hivyo kusini mwa Iraqi pia majeshi ya serikali yameendelea kupambana na makundi ya wapiganaji wa Kishia ili kuukomboa mji wa Tikrit unaokaliwa na wapiganaji hao japo kuwa inadaiwa kuwa wanakabiliwa na upinzani mkali..
Wapiganaji wa Kurdi washikilia Monsul
Reviewed by Ino
on
4:03:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment