Ramsey atolewa kwa kadi ya njano

Aaron Ramsey
Mchezaji Ramsey jana amejikuta
matatani baada
ya kutolewa nje ya uwanja kutokana na kupewa kadi ya pili
ya njano katika michuano hiyo ya mabingwa barani Ulaya wakati timu yake
ya Arsenal ilipokwaana na Besiktas.Hata hivyo mshambuliaji wa zamani wa Chelsea Demba Ba aliwashtua Arsenal pale alipoachia mkwaju mkali toka umbali mrefu uliogonga mwamba.
Matokeo mengine ni Copenhagen kubamizwa mabao 3 kwa 2 dhidi ya Leverkusen,Salburg ikaibwaga Malmo bao 2 -1, Napol na Anthletic Bilbao wakitoa sare ya 1-1.
Naye mshambuliaji mpya wa Real Madrid James Rodriguez ameweza kujipatia goli la kwanza tangu avae jezi za klabu.
Ramsey atolewa kwa kadi ya njano
Reviewed by Ino
on
4:02:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment