UEFA yasema haitatambua mechi za Crimea

Rais wa shirikisho la UEFA duniani MIchel Plattini
Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limesema
Wanachama wengi wa UEFA bado wanalichukulia eneo la Crimea kama la Ukraine licha ya Urusi kulichukua.
Jopo la kukabiliana na maswala ya dharura katika shirikisho la UEFA limesema kuwa ijapokuwa soka inaweza kuwaleta watu pamoja wakati wa majanga ni sharti vilabu vifuate sheria zilizopitishwa na wanachama wote 54.
UEFA yasema haitatambua mechi za Crimea
Reviewed by Ino
on
3:27:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment