Palestina kujiunga na mahakama ya ICC.

Mahmoud Abbas na kiongozi wa Hamas
Maafisa waandamizi katika kundi la wapiganaji
Hatua hiyo inakamilisha makubaliano ya makundi yote ya Palestina ambayo rais Mahmoud Abbas amesema anahitaji kabla ya kuchukua hatua yoyote.
Waandishi wanajua kwamba bwana Abbas huenda akaikasirisha Marekani kwa kutokuwa mwanachama wa mahakama hiyo nayo Israel huenda ikakabiliwa na uchunguzi wa uhalifu wa kivita.
Palestina kujiunga na mahakama ya ICC.
Reviewed by Ino
on
3:26:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment