Mchezaji afariki baada ya kupigwa

Mechi
Mchezaji mmoja wa soka raia wa Cameroon
amefariki baada ya kupigwa na kitu katika kichwa chake kilichorushwa kutoka kwa mashabiki mwishoni mwa mechi katika ligi ya Algeria.
Kitu kilichomgonga kichwani kilirushwa baada ya mechi kukamilika,wakati ambapo wachezaji walikuwa wanarudi katika chumba cha kujianda.
Waziri wa maswala ya ndani nchini Algeria ameagiza kuanzishwa uchunguzi kuhusu mauaji hayo.
Mchezaji afariki baada ya kupigwa
Reviewed by Ino
on
5:18:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment