Magavana wa benki ya PTA kukutana Tanzania


Bodi ya
Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Biashara Mashariki na Kusini mwa
Afrika (PTA) itakuwa mkutano wa mwaka utakaofanyikia nchini jijini Dar
es salaam tarehe 22 mwezi huu.
Hayo
yamebainishwa jana mjini Dodoma na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
(Mahusiano na Uratibu) Stephen Wasira alipokuwa akiongea na waandishi wa
habari juu ya mkutano huo utakaofanyika mwishoni wiki hii.
“Huu ni
mkutano wa kawaida wa mwaka wa Bodi ya Magavana wa nchi wanachama pamoja
na Mawaziri wa Fedha, Tanzania ni mwanachama ndio maana mkutano wa 30
unafanyika hapa” alisema Wasira.
Magavana wa benki ya PTA kukutana Tanzania
Reviewed by Ino
on
4:37:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment