Aliekua waziri mkuu wa zamani Ireland afariki dunia



Albert Reynolds enzi za uhai wake.
ALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Ireland kwa miaka mitatu, Albert Reynolds amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81. Kiongozi huyo aliyewahi kuongoza Chama cha Fianna Fáil na kushinda Tuzo ya Amani ya Nobel pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha (1988–91), Waziri wa Viwanda na Biashara (1987–88), Waziri wa Viwanda na Nishati (1982), Waziri wa Usafirishaji (1980–81) na Waziri wa Posta na Simu (1979–81)
Aliekua waziri mkuu wa zamani Ireland afariki dunia Aliekua waziri mkuu wa zamani Ireland afariki dunia Reviewed by Ino on 4:39:00 AM Rating: 5

No comments:

ino mo. Powered by Blogger.