Serikali ya Iraq kuharakisha hukumu ya kifo
Serikali ya Iraq ina mpango wa kuharakisha utekelezwaji ya hukumu ya kifo nchini humo, licha ya pingamizi kutoka kwa makundi ya kutetea haki za binadamu.
Waziri mkuu Haider al-Abadi ameamrisha kamati kubaini sababu zinazosababisha kuchelewa kwa sheria hiyo.
Pia kamati hiyo itatoa mapendekezo kuhusu ni vipi sheria ya kifo itatekelezwa kwa haraka.
Hata hivyo shirika la Amnesty International linataka hukumu ya kifo kusitishwa nchini Iraq.
Serikali ya Iraq kuharakisha hukumu ya kifo
Reviewed by Ino
on
9:01:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment