Guardiola amesema atamsalimia Mourinho kwa mkono

Pep Guardiola
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola, hatakuwa na tatizo lolote kumsalamia kwa mkono meneja wa Man U Jose Mourinho, wakat wa mechi kati ya vilabu hivyo mjini Beijing.
Mechi hiyo itakuwa ya pili kati yao tangu wote waache kufunza vilabu vya Barcelona na Real Madrid mwaka 2012.
Wote wamekana tofauti zoa na Guardiola anasme kuwa atamsalamia kwa mkono kama njia ya urafiki.
Jose Mourinho

Guardiola amesema atamsalimia Mourinho kwa mkono Guardiola amesema atamsalimia Mourinho kwa mkono Reviewed by Ino on 11:18:00 PM Rating: 5

No comments:

ino mo. Powered by Blogger.