China yakana kuuza nyama ya binaadamu Afrika

Nyama ya mkebe kutoka nchini China
Wizara ya maswala ya kigeni nchini
China imekana ripoti kwamba kampuni za chakula nchini humo zinaweka
nyama ya binaadamu na kuuza barani Afrika kama nyama ya ng'ombe.
Alisema kuwa kampuni za China zilikuwa zikichukua miili ya wafu kuitia katika viungo na kuiweka katika mikebe.
Msemaji wa China Hong Lei amesema kuwa ripoti hizo hazina uwajibikaji.

Nyama ya mkebe kutoka China
''Leo jarida moja linasambaza uvumi ,likidai China inatumia nyama ya binaadamu ambayo uihifadhi katika mikebe na kuiuza Afrika.
''Hii ni dhulma ya makusudi ambayo haiwezi kukubalika kabisa kwetu sisi''.
China yakana kuuza nyama ya binaadamu Afrika
Reviewed by Ino
on
12:56:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment