Tyson Fury kuzichapa tena na Klitschko

Klitschko na Tyson Fury wakirushiana makonde
Pigano la marudio
kati ya Tyson Fury na Wladmir Klitschko litaandaliwa mjini Manchester
mnamo mwezi Julai tarehe 9 kulingana na mkufunzi wa bondia huyo wa
Uingereza.
Peter Fury alituma ujumbe katika mtandao wa Twitter siku ya Ijumaa na tanagazo jingine linatarajiwa baadaye.

Ushindi huo unamaanisha kwamba Fury ni Muingereza wa tano kushinda mataji hayo ya uzani mzito zaidi duniani.

Bingwa wa uzani mzito duniani Tyson Furu alipomshinda Klitschko
Taji hilo litakuwa wazi siku ya Jumamosi ambapo mshindi wa medali ya dhahabu katika shindano la Olimpiki Anthony Joshua atakabiliana na bingwa mtetezi Charles Martin katika ukumbi wa 02 mjini London.
Tyson Fury kuzichapa tena na Klitschko
Reviewed by Ino
on
11:04:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment