Mji wa Al-Rai-Syria wakombolewa
vikosi vya waasi wa
Syria wamevirejesha nyuma vikosi vya wanamgambo wa dola ya kiislamu wa
Islamic State nje ya mji ambao pande zote mbili wanauwinda kuwa chini ya
himaya yake upande wa Kaskazini mwa Syria, baada ya siku kadhaa za
mapambano makali.
Mji wa Al-Rai,ulioko jirani na jimbo la Aleppo
,ni ngome ya wanamgambo hao wa IS ambao uko kwenye mpaka unaoingia
nchini Uturuki hadi kuingia Syria.Waasi hao wa Syria wamewahi kuhusika na matukio ya kukera ingawa hupigana chini ya jeshi huru la Syria ambalo limekuwa likiwagawia silaha kutoka nchin Uturuki.
Mji wa Al-Rai-Syria wakombolewa
Reviewed by Ino
on
1:32:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment