Myanmar yatafuta muafaka

Serikali ya Myanmar inafanya majadiliano na makundi kadhaa ya kikabila nchi humo ili kupata mwafaka.
Kikao
hicho cha siku 5 kinafuatia kutiwa saini hapo October kwa makubaliano
ya kusitisha mapigano baina ya serikali na makundi 8 ya wapiganaji.
Myanmar yatafuta muafaka
Reviewed by Ino
on
9:41:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment