Taifa Stars wanawake kuivaa Zimbabwe

Taifa Stars ya Tanzania
Timu ya taifa ya wanawake ya mpira
wa magongo kesho jumamosi inatarajia kushuka dimbani kutupa karata yake
ya kwanza muda wa saa nane mchana itakapoikabili Zimbabwe katika
michuano ya Afrika ya kufuzu fainali za Olompiki zitakazofanyika mjini
Rio nchini Brazili mwaka 2016.
Siku ya jumapili Timu ya Wanaume ya Tanzania itaumanana Misri katika mwendelezo wa michuano hiyo.Na Mashindano hayo yatafikia tamati mapema mwezi Novemba ambapo yanashirikisha Timu mbalimbali kutoka Nigeria,Zimbabwe,Ghana,Tanzania, Namibia, Misri , pamoja na kenya kwa Timu za wanawake na wanaume.
Taifa Stars wanawake kuivaa Zimbabwe
Reviewed by Ino
on
12:20:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment