Man United 1-0 Tottenham Hotspurs
Bao alilojifunga mwenyewe la Kyle
Walker, katika dakika ya 22 ya kipindi cha kwanza, lilitosha kuwapa
vijana wa Louis van Gaal ushindi muhimu na alama tatu za kwanza dhidi ya
mahasimu wao Tottenham Hotspurs.
United ilikuwa imeikaribisha
Hotspurs katika uwanja wa Old Trafford katika mechi ya kufungua msimu
huu wa ligi kuu ya premia ya Uingereza.Ilikua Hivi......

Rooney !
94 Manchester united wanafungua msimu huu kwa kuandikisha ushindi muhimu dhidi ya Tottenham Hotspurs
94'' Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
94'' Mpira umekwisha

Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
Kipa wa United akilazimika kufanya kazi ya ziada katika dakika 4 za mwisho kuinyima
Tottenham Hotspurs bao
91''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
90'' Sasa ni dakika nne za ziada
90'Muda wa kawaida umekamilika.
88''Tottenham Hotspurs wanafanya mashambulizi kwenye lango la Man United

79''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
71''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs

79''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
70''Takwimu:Manchester United 50%-50% Tottenham Hotspurs
69'' Schweinsteiger amekaribishwa na kadi ya njano

Bastian Schweinsteige
67''Bastian Schweinsteiger ndiye mchezaji wa kwanza Mjerumani kuichezea Man United
64'' United wanashambulia lango la Tottenham kwa mara ya kwanza tangu mech hii ianze

Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur 55''
62''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
59''Mchezaji mpya kutoka Ujerumani Schweinsteiger ameingia uwanjani
55'' Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
53''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspurs
52''Mchezaji mpya kutoka Ujerumani Schweinsteiger anajifua mashabiki wanashangilia!

Man United 1-0 Tottenham
46'' Kipindi cha Pili kimeanza
45''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
Wachezaji wapya wa Man United walioanza mechi hii
Memphis Depay , Morgan Schneiderlin, Matteo Darmian Sergio Romero
Sheria zilizobadilika katika msimu huu.
Sheria ya Offside
Adhabu dhidi ya kudanganya kuwa umeumia ilimpinzani wako apewe kadi
Meneja sharti watii sheria na kanuni zilizowekwa
Mpira mpya

Manchester United vs Tottenham Hotspur
45''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
45'' Kipindi cha kwanza kimekwisha.
22''Manchester United 1-0 Tottenham Hotspur
Timu:Tottenham Hotspur
13 Vorm02 Walker04 Alderw''eireld05 Vertonghen 33 Davies15 Dier06 Bentaleb19 Dembélé23 Eriksen22 Chadli10 Kane
Wachezaji wa akiba: 01 Lloris08 Mason11 Lamela16 Trippier20 Alli 27 Wimmer 28 Carroll
Timu:Manchester United

Christian Eriksen alipoteza nafasi nzuri kutoka Kane
20 Romero 36 Darmian12 Smalling17 Blind23 Shaw16 Carrick28 Schneiderlin08 Mata07 Depay18 Young10 Rooney
Wachezaji wa akiba:14 Hernández21 Herrera25 A Valencia31 Schweinsteiger33 McNair44 Pereira50 Johnstone
Man United 1-0 Tottenham Hotspurs
Reviewed by Ino
on
8:06:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment