Di Maria ajiunga na PSG ya Ufaransa
Klabu
ya Paris St-Germain imekamilisha usajili wa kiungo wa kati wa
Manchester United Angel Di Maria kwa kitita cha pauni milioni 44.3.
Raia
huyo wa Argentina anaondoka Man United mwaka mmoja baada ya kilabu hiyo
kuilipa Real Madrid kitita cha pauni milioni 59.7 ili kumsajili.
Di Maria ajiunga na PSG ya Ufaransa
Reviewed by Ino
on
12:45:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment