Bolt atawala mita 100 Beijing

Usain Bolt
Bingwa
wa dunia was mbio za matimko za mita 100 kwa upande wa wanaume,Usain
Bolt wa Jamaica, amejifurukuta na kuwapiku wapinzani wake wakuu
alipohifadhi taji lake la dunia mbele ya umati mkubwa uliojitokeza
kushuhudia fainali hiyo katika uwanja wa kimataifa Birds Nest Beijing
China.
Bolt alitoka nyuma na kuukata utepe katika fainali
iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na ghamu na watu wengi zaidi katika
mashindano ya riadha duniani yanayoendelea nchini China.Raia wa Canada, Andre de Grasse na Mmarekani Trayvon Bromell walisajili muda wa sekunde 9.92 na kutuzwa medali ya shaba.
Bolt atakumbukwa kwa kuibuka kidedea kati8ka mbio za matimko alipozoa medali za dhahabu katika mbio za mita 100 na mita 200 katika mashindano ya olimpiki mwaka wa 2008 huko huko Beijing.
Bolt atawala mita 100 Beijing
Reviewed by Ino
on
12:05:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment