Mahasimu waombwa kuruhusu misaada S Kusini
Mashirika
ya misaada yanayofanyia kazi nchini Sudan kusini yamezitaka pande
zinazohasimiana nchini humo kuruhusu wahudumu wa mashirika hayo
kusambaza misaada bila vikwazo.
Shirika la mpango wa chakula
duniani WFP linasema kuwa wafanyakazi wake watatu hawajulikani walipo
baada ya kupota katika jimbo la Upper Nile State mapema mwezi huu .Jana mashirika kadhaa ya misaada yaliondoka katika eneo la Pagak katika jimbo la Upper Nile wakihofia maisha yao .
Mahasimu waombwa kuruhusu misaada S Kusini
Reviewed by Ino
on
11:20:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment