Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati


Rais wa Yemen Abd Rabbuh Mansour Hadi
Rais wa Yemen aliyeko matatani, Abd Rabbuh Mansour Hadi, ameliomba baraza la usalama la umoja wa mataifa kuidhinisha hatua za kijeshi dhidi ya kundi la waasi la waislamu washia- Houthi, lililomlazimu kuutoroka mji mkuu wa taifa hilo Sanaa.
Bwana Hadi tayari ameliomba baraza la mataifa ya muungano wa kiarabu kumsaidia kijeshi.
Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati Reviewed by Ino on 3:58:00 AM Rating: 5

No comments:

ino mo. Powered by Blogger.