B.Rodgers:Wacheni kumtegemea Gerrard

Mkufunzi
wa Liverpool Brenda Rodgers amewaonya wachezaji wake kwamba hawafai
kumtegemea nahodha wa timu hiyo Steven Gerrard kila mechi.
Amesema kuwa wachezaji hao wanafaa kuziba pengo la nahodha huyo bila wasiwasi wakati ambapo hayupo katika timu.

Licha ya kiungo huyo wa kati kuchezeshwa kunako dakika ya 67 hakuweza kubadilisha mambo uwanjani Anfield.
''Hatuwezi kila mara kumtegemea ,haiwezekani kwamba kila mechi yeye ndiye atakayesababisha mchezo mzuri ama mabao'',alisema Rodgers.
B.Rodgers:Wacheni kumtegemea Gerrard
Reviewed by Ino
on
11:41:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment