Wakurd waendeleza mapigano,Kabone

wapiganaji wa Kikurd
Mapigano makali ya kurushiana risasi yanaendelea kati ya majeshi ya serikali na wapiganaji wa Kikurud wanaodaiwa kushirikiana na kundi la wapiganaji wa Kiislam wa dola ya kiislam nchini Syria.

Mapigano hayo yamearifiwa kutokea katika mpaka wa Kabone kwenye mpaka wa Syria na Uturuki nchini Syria.
Maelfu ya raia wa Kikurd wameyahama makazi yao wakihofia mapigano hay hayo.
Mwandishi wa BBC katika eneo hilo amesema milio ya milipuko na risasi ncdivyo vinavyosikika katika maeneo hayo.
Makundi ya wanaharakati kutoka nchini Uingereza waliopo Syria wanasema mwanamke mmoja wa Kikurd amefanya shambulizi la kujitoa muhanga
Wakurd waendeleza mapigano,Kabone Wakurd waendeleza mapigano,Kabone Reviewed by Ino on 10:02:00 PM Rating: 5

No comments:

ino mo. Powered by Blogger.