Vitisho vya wanafunzi wa Hong Kong
Wanafunzi
kati eneo la Hong Kong wameahidi kuendeleza maandamano iwapo mkuu wa
utawala katika eneo hilo CY Leung hataachia madaraka.
Kiongozi wa wanafunzi hao Lester Shum amesema kwa sasa wana mpango wa kuanza kuyazingira majengo ya serikali kama kiongozi huyo hatajiuzulu hadi alhamisi wiki hii.
Kwa maelfu ya watu wameendelea kusambaa katika mitaa mbalimbali ya Hong Kong.

Maelfu ya watu bado wanaandamana na kuendelea kukita kambi katika mji na maeneo mengine ya makutano katika eneo hilo.
Ofisi katika mji huo zitafungwa hadi keso kwa sababu ya likizo kuadhimisha siku ya kitaifa nchini China.

Alisema kuwa wagombea wote watapata tiketi ya moja kwa moja ya uchaguzi kuanzia mwaka 2017.
Vitisho vya wanafunzi wa Hong Kong
Reviewed by Ino
on
10:50:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment