Malaysia kuitafuta ndege iliyopotea tena

Malaysia
imeanza awamu nyingine ya kuisaka ndege yake iliyopotea MH-370 kusini
mwa bahari ya Hindi ikiwa ni takribani miezi saba tangu kutoweka kwa
ndege hiyo. Meli iliyofungwa vifaa
maalumu vinavyotumia teknolojia ya
Sonar.Hata hivyo meli hiyo ikiwa na vifaa hivyo imewasili katika eneo la pembezoni kabisa mwa Bahari ya Hindi kilomita 18,000 magharibi mwa Australia,
Utafutaji wa ndege hiyoilisitishwa kwa muda kwa kipindi cha miezi minne ili kutoa nafasi uchunguzi zaidi wa ramani kuhusiana na kupotea kwa ndege hiyo.
Ndege hiyo ilipotea mwezi march mwaka huu wakati iliporuka kutoka Kuala Lumpur kuelekea Beijing.
Malaysia kuitafuta ndege iliyopotea tena
Reviewed by Ino
on
10:05:00 PM
Rating:
No comments:
Post a Comment