Johannesburg ina panya hatari

Mji wa Johannesburg nchini
Afrika Kusini ni mmoja wa miji inayokua kwa kasi barani Afrika, lakini
mji huo unakabiliwa na tatizo la kuvamiwa na panya walionona ambao
huwatafuna watoto wadogo majumbani na wengine kufariki dunia. Maafisa wa
halmashauri ya jiji la Johannesburg sasa wamezidisha juhudi ya
kupambana na tatizo hilo ambalo limekuwepo kwa muda mrefu.
Johannesburg ina panya hatari
Reviewed by Ino
on
12:35:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment