Kemikali za Xenon na Argon marufuku
Taasisi ya kuzuia dawa za kuongeza
nguvu michezoni imezuia Xenon na Argon.Matumizi ya kemikali hizo mbili, zimepigwa marufuku michezoni.
Ingawa hakujakuwa na vipimo vya wazi vya kuthibitisha athari za kemikali hizo.
Hatua hii inakuja kutokana na kuaminika kuwa wanamichezo walikuwa wakivuta kemikali hizi ili kusisimua seli nyekundu za kuongeza stamina kabla na wakati wa mashindano.
Kemikali za Xenon na Argon marufuku
Reviewed by Ino
on
12:34:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment