Zahanati ya ebola Monrovia yaporwa

Taarifa kutoka Liberia zinasema
kuwa kituo kilichotengwa na kuwekewa karantini kwa sababu ya
ebola,
kimeshambuliwa na zana kuibiwa mjini Monrovia.Baadhi ya ripoti zinasema wagonjwa kadha wameondoka kituoni.
Tukio hilo limejiri katika mtaa wa shughuli nyingi uitwao West Point.
Watu zaidi ya 400 wamekufa kwa sababu ya ebola nchini Liberia kati ya zaidi ya 1,000 katika kanda ya Afrika Magharibi
Zahanati ya ebola Monrovia yaporwa
Reviewed by Ino
on
10:00:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment