Vyama sita vya michezo kushtakiwa
nchini marekani kikundi cha
familia kinatarajiwa kupeleka mashtaka mahakamani dhidi ya vyama sita
vya mpira wa miguu ,pamoja na shirikisho la mpira wa miguu duniani
FIFA,kwa lengo la kutaka uboreshwaji wa sheria za usalama michezoni.
Mashtaka hayo ambayo yamefunguliwa katika
mahakama moja mjini California,yanadai kua Fifa haijafanya lolote kuzuia
ajali za kichwani pindi wachezaji wawapo michezoni.katika kile walicho
pendekeza kama sheria mpya,watoto walio chini ya umri wa miaka 17,
wanapaswa kuupiga mpira kwa kutumia kichwa mara kadhaa kwa hesabu
maalumu ambayo inapaswa kuwekwa na mchezaji asizidishe kiwango.Lakini pia watoe ruhusa ya muda mbadala ya kuwafanyia uchunguzi wachezaji kama wamepata madhara kichwani.
Vyama sita vya michezo kushtakiwa
Reviewed by Ino
on
9:16:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment