Muigizaji nguli Robin Williams aaga dunia

Polisi wanaamini kwamba Robin
amejiua yeye mwenyewe akiwa nyumbani kwake katika mji wa Carlifonia.
Salamu za rambi rambi zimeendelea
kumiminika kufuatia kifo cha Williams, ambaye amefariki dunia akiwa na
umri wa miaka sitini na sita.
Robin Williams katika uhai wake alikua maarufu sana na mcheshi katika
kipindi cha runinga kilichojulikana kama 'Mork and Mindy' kabla
hajageukia katika tasnia ya filamu kama ya Good Morning Vietnam na pia
alikua ni mshairi na mashairi yake yalikua ya kuvunja mbavu.


Muigizaji nguli Robin Williams aaga dunia
Reviewed by Ino
on
10:09:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment