Wakati
wakikaribia kumsaini Angel Di Maria kutoka Real Madrid, klabu ya
Manchester United leo ilijitupa uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya
EPL dhidi ya Sunderland. Mchezo huo uliopigwa kwenye dimba la Stadium of
Light umeisha kwa sare ya 1-1.
Angalia video ya magoli hapa
Kama ulimis, video ya magoli ya mchezo wa Man UTD vs Sunderland hii hapa
Reviewed by Ino
on
9:14:00 AM
Rating: 5
No comments:
Post a Comment