Daktari apachika kamera vyooni

Daktari aweka kamera za siri Chooni
Daktari mmoja aamua kufanya kile
ambacho hakikutegemewa na wengi, kwa kupachika
kamera kwa siri katika
vyoo vilivyoko katika hospitali anayofanyia kazi na kufanikiwa kuwa
chungulia wagonjwa wapatao 100 walipokuwa wakijisaidia na idadi hiyo ni
watu wazima na watoto.Dokta Lam Hoe Yeoh almaarufu Robin mwenye umri wa miaka 61 anayetokea BansteadSurrey,anatuhumiwa kwa makosa 30 yakiwemo makosa mawili ya kuchungulia watoto na kuwarekodi,na makubwa Zaidi ni yanayo karibia kua ya kingono.

Daktari aweka kamera za siri Chooni na kuwatizama zaidi ya watu 100
Daktari apachika kamera vyooni
Reviewed by Ino
on
4:19:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment