Andy Murray , Novak wajipanga Us Open
Andy Murray
amepangwa kucheza wa tatu nyuma ya Novak Djokovich na Rodger Federer
kuelekea michuano ya US Open inayotarajiwa kuanza juma lijalo ambapo
anajiandaa kutetea taji hilo aliloshinda mwaka 2012.
Mchezaji
namba moja duniani katika mchezo wa tenisi kwa upande wa wanaume Novak
Djokovich ataanza michuano hiyo ambapo atafuatiwa na mshindi mara tano
wa michuano hiyo Roger Federer.Kwa upande wa kina dada bingwa mtetezi Serena Williams ataanza akifuatiwa na Simona Halep wa Romania huku mshindi wa mwaka 2006 Maria Sharapova akiingia wa tatu.
Andy Murray , Novak wajipanga Us Open
Reviewed by Ino
on
7:21:00 AM
Rating:
No comments:
Post a Comment